Uliza wewe. Yaani mtu kamkimbia Libya, Ghana, Nigeria, Syria, Afghanistan, Ukraine anakuja kutupwa hapo Rwanda!Kwani wakimbizi ni wanasayansi.
Unaua waliopo ili upate eneo la kuwaweka watakao kujaRwanda analipwa kwa kichwa akipata watu wengi na pesa inakua nyingi so ILI- MRADI UWE ENDELEVU unafanyaje?
Hakuna mkimbizi anatamani kuishi shithole country!Unaua waliopo ili upate eneo la kuwaweka watakao kuja
Yaani mtu akimbie Libya. Syria, Palestine, Congo, Somalia, aje apumzishe Rwanda, Kivu ya mashariki huko!😄😅😂 Boris ni beberu mkubwa for real!Kagame anafanya biashara, yeye analipwa kwa kichwa na wakifika Rwanda wataona mazingira magumu then wanarudi kwao. DEAL DONE.
Hata mimi naona anaelekea huko.Majirani na Rwanda wawe macho na huyu mshenzi.Ameachana na mkoloni Mfaransa na sasa atapewa nguvu kubwa awe kibaraka wa Uiengereza kuleta chokochoko katika ya Afrika.Rwanda inataka kutanua nchi na huyu jamaa msipo shtuka mtaniambia
Kwani mkataba unasemaje.Wakifika awafungie wasitoke au umeacha mwanya Kagame anaweeza kuwaachia waende wanakotaka.Kagame anafanya biashara, yeye analipwa kwa kichwa na wakifika Rwanda wataona mazingira magumu then wanarudi kwao. DEAL DONE.
Sis haituhusu! we don't care wataweza kukaa Rwanda au la,what we need is that €1.5billion . akitulia akatengeneza maisha that's good! akishindwa ataomba kwenda sehem nyingine,what we will do for them na ndivyo mkatama unasema ni:wapate mlo mala 3 kwa siku,waruhusiwe kupata kazi,matibabu,yani wapate kile raia anacho pata. kurudi UK au wapi sijui! ata apply kama kawaida. alfu kingine UK wata provide kuwatunza yani watapata full support kutoka UK.Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu.
Uingereza imeingia makubaliano na Rwanda kuhusu maamuzi hayo ambapo safari hiyo ya kilometa 6,000km itawahusu wote wanaoingia Uingereza kinyume cha sheria
Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson yeyote ambaye aliingia nchini humo kinyume cha sheria kuanzia Januari mwaka huu anaweza kujumuisha katika safari hiyo.
Makundi ya Haki za Binadamu na Taasisi za wakimbizi wameita maambuzi hayo kuwa ni katili na siyo ubinadamu na ni kama ukoloni mambo leo.
“Inashangaza na sio ubinadamu,” anasema Steve Valdez-Symonds, Mkurugenzi wa Kambi ya Wakimbizi ya Amnesty International UK, anaongeza:
“Mpango huo hautapunguza idadi ya wakimbizi. Itasababisha kiasi kikubwa cha ukatili na kuchochea njia hatari zaidi za wakimbizi kuanzishwa.
Source: Aljazeera
Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu.