Kikubwa maslahiUlaya inaenda kupoteza ile heshima yake ikiendekeza ujinga kama huu
SI walijifanya wao wajanja kutafuta makoloni--- malipo ni hapahapa duniani-- ubaya-ubwela.Ulaya inaenda kupoteza ile heshima yake ikiendekeza ujinga kama huu
Kumbe kujilipa siyo lazima yawe mabomuAnaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingerez
Safi sana--- nimekumbuka kuna siku katika bunge lao kuna jamaa alipiga english kali hadi aliyeulizwa swali akasema apewe kwa njia ya maandishi.Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
View attachment 3317746
Ni development--UK is cooked.
Washapoteza kitambo sana hasa uingereza na france vijana wao hawajielewUlaya inaenda kupoteza ile heshima yake ikiendekeza ujinga kama huu