Uingereza yapata meya wa kwanza huko Brighton asiyejua Kiingereza!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
Your browser is not able to display this video.
 
Anaitwa Mohammed Asaduzzaman kutoka Bangladesh. Kila kitu kinawezekana kwenye maisha, hata Mzaramo siku moja anaweza kuwa meya Uingereza.
View attachment 3317746
Safi sana--- nimekumbuka kuna siku katika bunge lao kuna jamaa alipiga english kali hadi aliyeulizwa swali akasema apewe kwa njia ya maandishi.

Ile ngeli kama sikoswi ya kiscotland
 
Safi sana--- nimekumbuka kuna siku katika bunge lao kuna jamaa alipiga english kali hadi aliyeulizwa swali akasema apewe kwa njia ya maandishi.

Ile ngeli kama sikoswi ya kiscotland
UK is cooked.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…