Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

Nyie Waswahili mna matatizo gani??
Wameweka vikwazo Uingereza halafu mnaoumia ni nyie huko buza na blah blah zenu raia wanaumia!
Waingereza wanaweza ku deal na Boris Johnson kwa njia za kidemokrasia kama hawapendezwi na anayofanya, kaeni kwa kutulia.
Hao jamaa nao ni wapuuzi tu, hvyo vikwazo asilimia kubwa vinawaumiza wenyewe.
Wananchi wanalalamika kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa bei ya mafuta na pia upatikanaji wake wakusua sua. Hawa ulaya wanafata mkumbo wa mmarekani ambaye yeye ana ghala kubwa sana la mafuta lakuweza kuisukuma nchi yake kwa miaka kadhaa hapo mbele unless these morons wafata mikumbo. Kama wao ni wanaume waende kupeleka jeshi lao likamalize operesheni ya mrusi pale Ukreini.

Anashindwa kuiga mgano wa Ufaransa ambaye amekaa kimya na mataifa mengineyo ya EU,kwanza kanchi kenyewe kana watu about 75M sijui hata wakiji disconnect from Russia bado kuna nchi nyingi za Asia na Marekani ya Kusini wako tayari kufanya biashara na mrusi plus Africa
 
Serikali imetangaza awamu mpya ya Vikwazo vya kibiashara dhidi ya #Russia ikiwa ni mwendelezo wa Vikwazo kutoka nchi nyingi Duniani kutokana na kuendelea kwa #RussiaUkraineWar

Vikwazo hivyo vinajumuisha marufuku ya kusafirisha bidhaa na teknolojia mbalimbali nchini humo, usafirishaji wa mafuta ya ndege na usafirishaji wa noti bora au za Umoja wa Ulaya.

....................................................
Britain has introduced a new tranche of trade sanctions against Russia, a notice published on the government website has said.

The notice listed new measures including prohibitions on the export to Russia of a range of goods and technology, the export of jet fuel, and the export of sterling or EU denominated banknotes.

Source: Al Jazeera
Hawa ni kuwaua na baridi tu mwezi December hapo
 
Wajerumani wamerudi kwenye matumizi ya mkaa na macho yamesha kuwa mekundu kama wanapuliza mkaa mbichi,Acha nao waingereza wajidai TU.

Hata haujui unachoongea, UK alikuwa anatumia only 4% ya gas toka Russia na aliikataa mwanzo kabisa so they have nothing to loose na ndio maana waona tuko front line na Russia hana la kumfanya
 
Hata haujui unachoongea, UK alikuwa anatumia only 4% ya gas toka Russia na aliikataa mwanzo kabisa so they have nothing to loose na ndio maana waona tuko front line na Russia hana la kumfanya
Ni kuhakikishie kuwa najua nachoongea, habari ya gesi ni mezungumzia ujerumani,UK ni mezungumzia habari ya kujidai wajuaji,ila TU nikumbushe unaoweza fikiria kichocheo Cha gatepaty na vote of no confidence ilichochewa na Nini,? Na Bado mengi yanawajia,kule Italy Di maio FM wao kahama Chama chake kisa hawakubaliani na wanacho fanya Ukraine,Bulgaria wamekatiwa gesi, Serikali imeparaganyika wanaoelekea kwenye uchaguzi wa mapema,ufaransa macron kakalia kuti kavu,unajua kwanini?Kazi Kwako na way Ukraine wote wa buza,pamoja na mabeberu wa ulaya na America.🚶
 
Tanzania tuna deni la Taifa dogo kuliko Russia.

Hapana Mkuu sisi hata 20 hatumo angalia list hiyo
Russia ya 14 duniani kwa udogo wa Deni
IMG_7117.jpg
 
Ni kuhakikishie kuwa najua nachoongea, habari ya gesi ni mezungumzia ujerumani,UK ni mezungumzia habari ya kujidai wajuaji,ila TU nikumbushe unaoweza fikiria kichocheo Cha gatepaty na vote of no confidence ilichochewa na Nini,? Na Bado mengi yanawajia,kule Italy Di maio FM wao kahama Chama chake kisa hawakubaliani na wanacho fanya Ukraine,Bulgaria wamekatiwa gesi, Serikali imeparaganyika wanaoelekea kwenye uchaguzi wa mapema,ufaransa macron kakalia kuti kavu,unajua kwanini?Kazi Kwako na way Ukraine wote wa buza,pamoja na mabeberu wa ulaya na America.[emoji124]

Ndio maana nasema hujui unachoongea kabisa, issue ya vote ya no confidence ya Boris it is about Ukrain war??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama kingereza hujui na magazeti ya kwetu? Hahaha na issue ya covid ilikuwa ninin?
 
Shida sana,nakupa uwanda wakutosha kung'amua ujumbe uliobebwa na maana iliyopo hata Bado huelekei kujua,basi elewa vile unavyotaka.Iwe ni Kwa sababu ya mahaba Kwa mabeberu au vinginevyo.
 
Wangekuwa walishakufa zamani sana kabla Russia haijawa na mafuta.
Yaani mtu anaona uingireza haina akili. Kama gas na mafuta yangekuwa vulnerable kwa UK basi angeufyata kwa russia. Hizi kelele zote ni dhahiri watu walijipanga kumpiga pini mrusi.
 
Pia ana uchumi mdogo ukilinganisha na UK

Hilo halina ubishi
[emoji636] Kuna ajira 220,000 tofauti tofauti kila siku ni wewe tu na nguvu zako

[emoji636] hawakuanza kuiba leo mpaka kufika hapa walipo
Wametawala nchi nyingi sana na mpaka leo kuna nchi kibao zipo chini ya Malkia
 
Ni kuhakikishie kuwa najua nachoongea, habari ya gesi ni mezungumzia ujerumani,UK ni mezungumzia habari ya kujidai wajuaji,ila TU nikumbushe unaoweza fikiria kichocheo Cha gatepaty na vote of no confidence ilichochewa na Nini,? Na Bado mengi yanawajia,kule Italy Di maio FM wao kahama Chama chake kisa hawakubaliani na wanacho fanya Ukraine,Bulgaria wamekatiwa gesi, Serikali imeparaganyika wanaoelekea kwenye uchaguzi wa mapema,ufaransa macron kakalia kuti kavu,unajua kwanini?Kazi Kwako na way Ukraine wote wa buza,pamoja na mabeberu wa ulaya na America.[emoji124]
Wewe waone CIA ni kama wehu. Kuna nyakati utawaelewa tu.
 
Yaani mtu anaona uingireza haina akili. Kama gas na mafuta yangekuwa vulnerable kwa UK basi angeufyata kwa russia. Hizi kelele zote ni dhahiri watu walijipanga kumpiga pini mrusi.

UK walikuwa wananunua Mafuta na Gas 8% tu ya mahitaji kutoka Russia

Ila liquified natural gas wananunua zaidi kutoka Qatar na US
 
Back
Top Bottom