Uingereza yatangaza vikwazo vipya vya Kibiashara dhidi ya Urusi

Nyie Waswahili mna matatizo gani??
Wameweka vikwazo Uingereza halafu mnaoumia ni nyie huko buza na blah blah zenu raia wanaumia!
Waingereza wanaweza ku deal na Boris Johnson kwa njia za kidemokrasia kama hawapendezwi na anayofanya, kaeni kwa kutulia.
 
Hawa ni kuwaua na baridi tu mwezi December hapo
 
Wajerumani wamerudi kwenye matumizi ya mkaa na macho yamesha kuwa mekundu kama wanapuliza mkaa mbichi,Acha nao waingereza wajidai TU.

Hata haujui unachoongea, UK alikuwa anatumia only 4% ya gas toka Russia na aliikataa mwanzo kabisa so they have nothing to loose na ndio maana waona tuko front line na Russia hana la kumfanya
 
Hata haujui unachoongea, UK alikuwa anatumia only 4% ya gas toka Russia na aliikataa mwanzo kabisa so they have nothing to loose na ndio maana waona tuko front line na Russia hana la kumfanya
Ni kuhakikishie kuwa najua nachoongea, habari ya gesi ni mezungumzia ujerumani,UK ni mezungumzia habari ya kujidai wajuaji,ila TU nikumbushe unaoweza fikiria kichocheo Cha gatepaty na vote of no confidence ilichochewa na Nini,? Na Bado mengi yanawajia,kule Italy Di maio FM wao kahama Chama chake kisa hawakubaliani na wanacho fanya Ukraine,Bulgaria wamekatiwa gesi, Serikali imeparaganyika wanaoelekea kwenye uchaguzi wa mapema,ufaransa macron kakalia kuti kavu,unajua kwanini?Kazi Kwako na way Ukraine wote wa buza,pamoja na mabeberu wa ulaya na America.🚢
 
Ndio maana nasema hujui unachoongea kabisa, issue ya vote ya no confidence ya Boris it is about Ukrain war??? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hata kama kingereza hujui na magazeti ya kwetu? Hahaha na issue ya covid ilikuwa ninin?
 
Shida sana,nakupa uwanda wakutosha kung'amua ujumbe uliobebwa na maana iliyopo hata Bado huelekei kujua,basi elewa vile unavyotaka.Iwe ni Kwa sababu ya mahaba Kwa mabeberu au vinginevyo.
 
Wangekuwa walishakufa zamani sana kabla Russia haijawa na mafuta.
Yaani mtu anaona uingireza haina akili. Kama gas na mafuta yangekuwa vulnerable kwa UK basi angeufyata kwa russia. Hizi kelele zote ni dhahiri watu walijipanga kumpiga pini mrusi.
 
Pia ana uchumi mdogo ukilinganisha na UK

Hilo halina ubishi
[emoji636] Kuna ajira 220,000 tofauti tofauti kila siku ni wewe tu na nguvu zako

[emoji636] hawakuanza kuiba leo mpaka kufika hapa walipo
Wametawala nchi nyingi sana na mpaka leo kuna nchi kibao zipo chini ya Malkia
 
Wewe waone CIA ni kama wehu. Kuna nyakati utawaelewa tu.
 
Yaani mtu anaona uingireza haina akili. Kama gas na mafuta yangekuwa vulnerable kwa UK basi angeufyata kwa russia. Hizi kelele zote ni dhahiri watu walijipanga kumpiga pini mrusi.

UK walikuwa wananunua Mafuta na Gas 8% tu ya mahitaji kutoka Russia

Ila liquified natural gas wananunua zaidi kutoka Qatar na US
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…