Hapo ndipo inaposhangaza!!! Ile ya miaka 8 ilianza kutekelezwa rasmi July 1st baada ya Serikali kupitia Wizara ya fedha kuamua hivyo. Ina maana kuna watu walipigwa za uso na hizo kodi za dharura bila kutoa muda maalum na wa kutosha kutekeleza hayo maamuzi.Nchi hii mauzauza hayaishi,,hata ile ya miaka 8 nashangaa walishaanza kuitumia wakati kikao cha Bunge hakijaisha na kupitisha rasmi
mimi nimepigwa za kichwa maana nimeingiza gari baada ya 1st july sasa sijui watarudishia au ndio imekula kwetu, bongo vitukoHapo ndipo inaposhangaza!!! Ile ya miaka 8 ilianza kutekelezwa rasmi July 1st baada ya Serikali kupitia Wizara ya fedha kuamua hivyo. Ina maana kuna watu walipigwa za uso na hizo kodi za dharura bila kutoa muda maalum na wa kutosha kutekeleza hayo maamuzi.
Inauma sana.
Hapo mkuu nafikiri itakuwa imekula kwako kaka. Kuanzia mwanzo hao TRA hawakuwa na mamlaka ya kutoza kodi mpya mpaka Bunge lihitimishwe na kupitisha taratibu na sheria mpya. Ila kwa kuwa WaTanzania tumezoea kuburuzwa na kuletewa mizengwe kwenye mambo ya msingi,haya mambo ni "Upepo tu yatapita" au "Liwalo na liwe".mimi nimepigwa za kichwa maana nimeingiza gari baada ya 1st july sasa sijui watarudishia au ndio imekula kwetu, bongo vituko
Kitu cha muhimu pia ni gari ya mwaka gani? Halafu kwa hapo uliposema gari umetoa Japan mpaka hapa bandarini,usafirishaji(freight) tu itakugharimu Kama $ 1400 mpaka Dar..Ina maana hiyo gari utakuwa umenunua $ 400! Wanachofanya hawa wajanja (TRA) wanaangalia value ya hiyo gari mwaka iliyotoka ilikuwa ni bei gani. Halafu wanangilia invoice yako inasemaje. Baada ya hapo unapigwa 25% import duty, 20% excise duty, 5% chini ya CC 2000 na 10% juu ya CC 2000, 18% VAT. Ukipiga hesabu ndio ushuru utakaolipa. Na value ukiweka chini sana kwenye invoice TRA huwa wana-uplift kutokana na system zao.hivi wakuu kwa gari la cc chini ya 2000 saloon car ushuru ni asilimia ngapi wakuu naombeni msaada.lets say gari hadi nimeiagiza kutoka japani hadi hapo bandarini nimetumia dola 1800. je ushuru nitalipa kiasi gani gani na gharama zingine zote hadi itoke na iwe barabarani
Kitu cha muhimu pia ni gari ya mwaka gani? Halafu kwa hapo uliposema gari umetoa Japan mpaka hapa bandarini,usafirishaji(freight) tu itakugharimu Kama $ 1400 mpaka Dar..Ina maana hiyo gari utakuwa umenunua $ 400! Wanachofanya hawa wajanja (TRA) wanaangalia value ya hiyo gari mwaka iliyotoka ilikuwa ni bei gani. Halafu wanangilia invoice yako inasemaje. Baada ya hapo unapigwa 25% import duty, 20% excise duty, 5% chini ya CC 2000 na 10% juu ya CC 2000, 18% VAT. Ukipiga hesabu ndio ushuru utakaolipa. Na value ukiweka chini sana kwenye invoice TRA huwa wana-uplift kutokana na system zao.
Port charges Tshs 255,000.
Shipping Line $ 80.
Kwenye ushuru ukipata figure ongeza hapo Tshs 350,000 ya Registration (Card ya gari).
Tshs 40,000 ya vibao vya namba (number plates).
Kila la heri mkuu.
kapindaHuyu pinda huyu...
Nakushauri tu upate muda upitie website ta TRA. Mle utapata kila kitu.Duuh,wanatupiga sana za uso,ndg yangu ametuma Scania Tipper mende,ya mwaka 2000,ila nilichosikia tangu mwaka jana nikuwa magari kuanzia 7ton kuendelea yameondolewa ushuru kinacholipiwa ni 18percent vat tu,je kuna ukweli ukweli juu ya ili ama kuna malipo mengine yamejificha zaidi ya hapo,naomba ufafanuzi wako zaidi mtaalam,ninaitajika kulipia vitu gani zaidi?