Naomba kufahamishwa kuhusu uingizaji wa malori nchini kutegemea miaka ya gari. Je ile sheria ya kuingiza magari yasiyozidi miaka 10 nchini nayo inahusu malori ya kubebea mizigo? Natanguliza shukrani.
Asante sana mkuu. Siku njema.
gonga hapa Al-Marma C & FNaomba kufahamishwa kuhusu uingizaji wa malori nchini kutegemea miaka ya gari. Je ile sheria ya kuingiza magari yasiyozidi miaka 10 nchini nayo inahusu malori ya kubebea mizigo? Natanguliza shukrani.
mkuu,
maroli, zana za kilimo, pickup na mabasi hayana dumping fee wala excise duty, we agiza tu hizo mashine za kazi.