Uingizaji wa malori Tanzania

Uingizaji wa malori Tanzania

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Naomba kufahamishwa kuhusu uingizaji wa malori nchini kutegemea miaka ya gari. Je ile sheria ya kuingiza magari yasiyozidi miaka 10 nchini nayo inahusu malori ya kubebea mizigo? Natanguliza shukrani.
 
mkuu,
maroli, zana za kilimo, pickup na mabasi hayana dumping fee wala excise duty, we agiza tu hizo mashine za kazi.
 
gonga hapa Al-Marma C & F
+971 04 2588080
+971 055 9301359
+971 050 9198777
 
mkuu,
maroli, zana za kilimo, pickup na mabasi hayana dumping fee wala excise duty, we agiza tu hizo mashine za kazi.

mkuu,mwezi uliopita hapo wamenitoza hio kitu kwenye red,is it true?nieleweshe nikadai hela yangu mazee.
 
Back
Top Bottom