Ameshapigisha mswaki mwingine hapo nyuma Yako tunduni...
Huoni kwamba anamtetea Lissu. ?! 😀
Wangekua wanakatwa mikono kwa Tz wizi ungepunguaMahakama zinazoongozwa kwa Torati na Quran kupata Haki ni uhakika. Kwa sababu hazipendelei mtu na sheria zake zimenyooka. Na zinalenga sio tuu kutoa haki na kuadhibu bali kutatua tatizo kwa baadaye
Mfano, Mwizi akiiba Mkate Mkono.
Hadithi za kizee za kiarabu mnaz8nasibisha na MunguNani aliotoa hio kauli na nani alietoa muongozo?
Hapa analazimishwa nini?.
Kuna kingine zaidi ya kuolewa? Hapo anasignHapa analazimishwa nini?.
Sawa mkuu pamoja sana kwa ujumbe wakoKikaptula upo kibanda pombe unavuta ya moto huku macho ukiyafumba kwa ukali kwa maji unayokunywa
Takiya ni mambo ya mashia,sisi waislamu hayatuhusuVip kuhusu takiya mkuu
Hahahahaa mzee unakimbia kivuli chako mkuuTakiya ni mambo ya mashia,sisi waislamu hayatuhusu