Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

Uislam ni nini/ Muislam ni nani?

Mcqueenen

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
6,843
Reaction score
11,702
Asalam alaykum!
Nilisilimu lakini baadhi ya members humu wakawa wanapinga na kusema mimi sio muislam bali ni mnafiq.

Sasa Leo nataka kujua kutoka kwa wajuvi wa dini ya kiislam definition ya Uislam/Muislam. Huenda ikanisaidia kuwa muislam safi.

Na ikiwezekana wanipe sifa ambazo mtu anapaswa kuwa nazo ili aitwe muislam.
Au muislam ni mtu mwenye sifa zipi.
Ahsante.
 
Uislamu ndo dini ya haki
Usafi wa Mwili
Usafi wa Roho
Usafi wa matendo
 
20230409_133358.jpg
 
Muislam ni mtu mnyenyekevu ambayae atafuata amri za mungu na kama utofata utaratibu wa aliopanga allah bas utakuwa muislam jina wala si muislam
 
Uislam umesimama katika nguzo tano
1.Shahada
Hapo ushuhudilie kuwa mola ni mmoja tu, na muhammad ndio mjumbe wake kwa ummah huu. Sio kwa maneno tu na matendo pia, ufanye aliyotaka ufanye na uache yale aliyokataza. Humu ndio kwenye kila kitu.
2.sala.
Iko wazi siku ya kiama sala ndio jambo la kwanza kutizamwa atakaekuwa kazikamilisha, basi mengineyo hayatizamwi.
3.zaka
Kutoa zaka kwa mwenye nacho
4.swaumu
Kufunga mwezi wa ramadhani
5.hija
Kwenda hija kwa mwenye uwezo.

Ukiitazama namba moja ndio kila kitu, matendo ya kufanya,jinsi ya kula,kulala,kuoa, kuishi na watu,kusalimiana, kuishi na majirani, mfumo mzima wa maisha unapatikana hapo, kila chinu(kujisemea watu wa kusini) inakuwa katika namba moja.

So muislam ni yule mwenye kutekeleza nguzo za uislam.
 
Okay, so kumbe kabla ya Muhamad hakukuwa na uislam/waislam
 
Swa

SWali zuri, nilijua utauliza hivi, ndio maana ukisoma vizuri, nimesema muhammad ni mtume wa umma huu..

Hivyo kipindi cha nuhu watu walikuwa wanashahidilia, kwenye jina la muhhamad anakaa nuhu, sababu ndio mtume wa umma ule, wakati wa ibrahim hivyo hivyo, ni kushuhudulia kuwa mola ndio muabidiwa wa haki na ibrahim/nuhu/musa etc ndio mjumbe wa umah husika.
 
Katika uisilamu, haki lazima itendeke kwa vitendo. Mfano, ukihama dini ya uisilamu kwenda dini nyingine (ukiritadi), ni lazima uuawe popote utakapoonekana, ili kukamilisha haki
Unaongea vitu usivyo na elimu navyo...ila nafurahi najivunia dini kwakua hafanyiwi mzaha kutokana na uimara wetu sisi mtu kufa ni sawa anapoichezea dini yaani dini kwanza mengine ndio yafate hio imepunguza upuuzi kwenye dini yetu

Imagine ajitikeze shekh ana fungisha ndoa ya machoko kichwa chake kinaondoka kabisa na hakuna kuchekeana hio inakomesha ujinga kwnye imani hivyo mom najivunia uislam tuko imara na imani yetu haichezewi
 
Uislam umesimama katika nguzo tano
1.Shahada
Hapo ushuhudilie kuwa mola ni mmoja tu, na muhammad ndio mjumbe wake kwa ummah huu. Sio kwa maneno tu na matendo pia, ufanye aliyotaka ufanye na uache yale aliyokataza. Humu ndio kwenye kila kitu.
2.sala.
Iko wazi siku ya kiama sala ndio jambo la kwanza kutizamwa atakaekuwa kazikamilisha, basi mengineyo hayatizamwi.
3.zaka
Kutoa zaka kwa mwenye nacho
4.swaumu
Kufunga mwezi wa ramadhani
5.hija
Kwenda hija kwa mwenye uwezo.

Ukiitazama namba moja ndio kila kitu, matendo ya kufanya,jinsi ya kula,kulala,kuoa, kuishi na watu,kusalimiana, kuishi na majirani, mfumo mzima wa maisha unapatikana hapo, kila chinu(kujisemea watu wa kusini) inakuwa katika namba moja.

So muislam ni yule mwenye kutekeleza nguzo za uislam.
Bado na nguzo za imani
 
Swa

SWali zuri, nilijua utauliza hivi, ndio maana ukisoma vizuri, nimesema muhammad ni mtume wa umma huu..

Hivyo kipindi cha nuhu watu walikuwa wanashahidilia, kwenye jina la muhhamad anakaa nuhu, sababu ndio mtume wa umma ule, wakati wa ibrahim hivyo hivyo, ni kushuhudulia kuwa mola ndio muabidiwa wa haki na ibrahim/nuhu/musa etc ndio mjumbe wa umah husika.
Weka ushahidi wa andiko la kolowani!ACHA maneno yako yasiyo na ushahidi
 
Katika uisilamu, haki lazima itendeke kwa vitendo. Mfano, ukihama dini ya uisilamu kwenda dini nyingine (ukiritadi), ni lazima uuawe popote utakapoonekana, ili kukamilisha haki
lazima tukate kichwa unaritadi unaenda wapi hunafaida humu duniani, kama munapokuwa vitani ukiasi unauwa je mbele ya dini ya ALLAH (SW)
 
Back
Top Bottom