Uislam ndo dini ya haki, ndo dini pekee ambayo haina nabii wa uongo... Uislam ni din inayohimiza mema na kukataza mabaya,
Maadui wa uislam walisha fanya fitna nyingi juu ya uislam walishajaribu had kuiangamiza Qur-an lakin Mwenyezi Mungu Alisha ahidi kukilinda kitabu chake.. na quran ndo kitabu pekee kilicho hifadhiwa ndan ya vichwa vya watu Hadi nukta inajulikana inakaa wapi.
Maadui wa uislam wameshajua fika hawawez kuuangamiza uislam, wameamua kupambana na uislam kwa kuuchafua kwa majina mabaya mabaya kama kuwaita waislam magaid.. akifanya tukio mtu anaeitwa Emanuel taarifa itatolewa kwa kusema mtu mwenye silaha amefanya tukio fulan..... ila akifanya mtu anaeitwa Hamza, Hussein wanasema Ni gaidi kafanya.
Wanaushambulia uislam kupitika makosa ya mtu mmoja mmoja na wanasema kuwa uislam ni ugaid