TsotsiKwesta
Senior Member
- Jan 12, 2014
- 126
- 258
Asalam Aleikum warramatullah Taala wabarakatuh. Kwa wale wakristo ni Seme Bwana Yesu asifiwe.
Nasikitishwa sana na matukio ya kigaidi ambayo yanakua yanahusishwa na Uislamu moja kwa moja. Growing up nilikua najua waarabu ndio watu watakaoenda peponi na ni watakatifu, lakini as i grew up nikaja kuelewa wale ni watu tu kama walivyo wajapan na Wayahudi. Kumekua na vitendo vya kigaidi vinavyohusisha uislamu, mamia ya watu wasio na hatia wanakufa. Mimi binafsi nawaita hawa sio waislamu na Mungu atawapa wanachostahili. Hakuna dini yenye kuhubiri Amani kama uislamu, tumeagizwa upendo wa kila mtu awe muslim na non muslim pia. Mamlaka ya kuchukua uhai wa mtu ni yake Maulana. Hawa watu wanaua watu then wanamtaja mungu ni dhahiri wanataka ku instill chuki baina yetu wakristo na waislamu ambao tumeishi miaka na miaka kwa mapenzi na kuheshimiana. Mwaka 2013 niliwahi kukutana na Raia wa Iran mjini Washington DC, tulikua na mazungumzo kidogo kuhusu gari yake ambae haitumii mafuta inatumia umeme(Nissan Leaf) basi nilipomaliza mada hiyo nikamuuliza Imran unazungumziaje hawa watu wanaua innocent people kwa jina la uislamu. Alinijibu kama ifuatavyo.
“ I don’t care if a Christian or muslim kill people, what bothers me is when they use the name of God. They can do their wickedness without involving God”
It is shame and a disgrace to our religion. Honestly I really hate these sick bastards that are tarnishing our image and as a muslim brother i condemn these series of mass shootings. I love my christian friends and I respect dini zao ndio tumeumbwa hivyo. I just thought I should say this to people and nitangulize Apologies kama nitakua nimemkwaza mtu kwa namna moja ama nyingine.
Gyabonga Wafowethu.