Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,490
- 7,422
Nimepita sehemu nikakutana na takwimu zikionyesha Kenya ni nchi ya tatu kwa uzalishaji na Exportation ya zao la Chai Dunia only behind China and Sri Lanka at staggering 1.4 billion US$, nikajaribu kuangalia nchi yagu cha kusikitisha hata top 15 hatupo!
Sasa nikakumbuka mbona kwa kumbukumbu katika elimu yangu ya jiografia ya shule ya msingi nakumbuka kuwa Chai inastawi kwenye mikoa kama kumi hivi(Iringa, Songwe, Ruvuma, Kagera, Tanga, Kilimanjaro,Njombe,Katavi,Rukwa, Mbeya) kitu ambacho inatakiwa Kenya kwenye zao hili wawe ni underdogs wetu!
Tulikwama wapi?