Ujamaa ndio ulitufikisha huku? Nani hasa anastahili lawama?

Masamila

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2014
Posts
6,490
Reaction score
7,422
Nimepita sehemu nikakutana na takwimu zikionyesha Kenya ni nchi ya tatu kwa uzalishaji na Exportation ya zao la Chai Dunia only behind China and Sri Lanka at staggering 1.4 billion US$, nikajaribu kuangalia nchi yagu cha kusikitisha hata top 15 hatupo!

Sasa nikakumbuka mbona kwa kumbukumbu katika elimu yangu ya jiografia ya shule ya msingi nakumbuka kuwa Chai inastawi kwenye mikoa kama kumi hivi(Iringa, Songwe, Ruvuma, Kagera, Tanga, Kilimanjaro,Njombe,Katavi,Rukwa, Mbeya) kitu ambacho inatakiwa Kenya kwenye zao hili wawe ni underdogs wetu!

Tulikwama wapi?
 
Sio ujaama na China ilikua na ujaama, ni CCM na viongozi wake.......nchi kama Tznia haina clear Economic policy.....viongozi wa mihemiko tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Export wewe fursa hiyo acha kudekadeka
 
Export wewe fursa hiyo acha kudekadeka
Lakini kweli ukiondoa serikali yao Kenya pia mtu mmoja mmoja ni fighter
Kwa mfano walimu wengi wanao fundisha lugha ya kiswahili katika nchi za Ulaya na Asia ni wakenya wakati sisi watanzania kiswahili ndio chetu hasa

Ni chetu kivip kwa kukijua kukiongea au kukikuza? Tz tuna maneno mengi hamna lolote.....imagine mlima Kilimanjaro uko Tz ila Kenya inaufaidi kuliko sisi why?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini kweli ukiondoa serikali yao Kenya pia mtu mmoja mmoja ni fighter
Kwa mfano walimu wengi wanao fundisha lugha ya kiswahili katika nchi za Ulaya na Asia ni wakenya wakati sisi watanzania kiswahili ndio chetu hasa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hawa watanganyika watakuja kulialia kama madent kwanini serikali yao haiwapeleki nje kufundisha kama wakenya.. Acha Ulaya na Asia hapa bongo shule nyingi tu zina walimu wakenya tena hawana hata work permits.
 
Export wewe fursa hiyo acha kudekadeka

Hivi hauoni kuwa kuna uzembe mkubwa unajidhihirisha hapo kwa viongozi na watendaji husika?

Wananchi wakijitutumua hata ikiwa kwa maono yao utashangaa jinsi hao watendaji walivyo mbelembele kutoza ushuru kedekede na kodi nyingi n.k
 
Naskia kuna kiwanda flani kikubwa huko Iringa cha Chai kiliuzwa na aliye kinunua ni Wakenya

Kuna kiwanda cha kutengeneza karatasi huko Iringa kiliuzwa Kenye kwa bei ya kutupwa sasa hivi serikali inaangiza karatasi kutoka nje kwa mabilioni ya hela

Ishu siyo ujamaa yaani kuna wapuuzi waliopewa madaraka walistahili kunyongwa kitambo tu sema bado ndiyo wamepewa mamlaka kwenye sector
 
acha kabisa mkuu

Kuna watu walipewa madaraka ila hawakuifanyia nchi yanayostahili
 
Back
Top Bottom