Sio ujaama na China ilikua na ujaama, ni CCM na viongozi wake.......nchi kama Tznia haina clear Economic policy.....viongozi wa mihemiko tuNimepita sehemu nikakutana na takwimu zikionyesha Kenya ni nchi ya tatu kwa uzalishaji na Exportation ya zao la Chai Dunia only behind China and Sri Lanka at staggering 1.4 billion US$, nikajaribu kuangalia nchi yagu cha kusikitisha hata top 15 hatupo!
Sasa nikakumbuka mbona kwa kumbukumbu katika elimu yangu ya jiografia ya shule ya msingi nakumbuka kuwa Chai inastawi kwenye mikoa kama kumi hivi(Iringa, Songwe, Ruvuma, Kagera, Tanga, Kilimanjaro,Njombe,Katavi,Rukwa, Mbeya) kitu ambacho inatakiwa Kenya kwenye zao hili wawe ni underdogs wetu!
Tulikwama wapi?
Lakini kweli ukiondoa serikali yao Kenya pia mtu mmoja mmoja ni fighterExport wewe fursa hiyo acha kudekadeka
Na ukichangia mpigania kwa kasi wa neno Fursa ameshakwenda mbele ya haki(rip Ruge) basi ndo tumekwisha tena,fursa ndo kila kitu,vijana inabidi tuamke
Ni chetu kivip kwa kukijua kukiongea au kukikuza? Tz tuna maneno mengi hamna lolote.....imagine mlima Kilimanjaro uko Tz ila Kenya inaufaidi kuliko sisi why?Lakini kweli ukiondoa serikali yao Kenya pia mtu mmoja mmoja ni fighter
Kwa mfano walimu wengi wanao fundisha lugha ya kiswahili katika nchi za Ulaya na Asia ni wakenya wakati sisi watanzania kiswahili ndio chetu hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini kweli ukiondoa serikali yao Kenya pia mtu mmoja mmoja ni fighter
Kwa mfano walimu wengi wanao fundisha lugha ya kiswahili katika nchi za Ulaya na Asia ni wakenya wakati sisi watanzania kiswahili ndio chetu hasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Export wewe fursa hiyo acha kudekadeka
Sio ujaama na China ilikua na ujaama, ni CCM na viongozi wake.......nchi kama Tznia haina clear Economic policy.....viongozi wa mihemiko tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naskia kuna kiwanda flani kikubwa huko Iringa cha Chai kiliuzwa na aliye kinunua ni Wakenya
Kuna kiwanda cha kutengeneza karatasi huko Iringa kiliuzwa Kenye kwa bei ya kutupwa sasa hivi serikali inaangiza karatasi kutoka nje kwa mabilioni ya hela
Ishu siyo ujamaa yaani kuna wapuuzi waliopewa madaraka walistahili kunyongwa kitambo tu sema bado ndiyo wamepewa mamlaka kwenye sector