Mr mutuu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2023
- 2,869
- 14,501
Wakuu muda sio muda natarajia Kula hiki kipande (Mombo to Segerea) naelekea Tanga, katika memory zangu sitakaa nikisahau hiki kipande kabisa, kila nikipita hapa huwa nacheka, it happened kama miaka 12 iliyopita nikipita kipande hiki na pikipiki usiku mnene, nafata nini? Ndo kichekesho sasa, ngoja nafika Tanga nakuja na Uzi kamili ntaedit hapa hapa😃