Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapigo hayo avalie huko huko kwa wabana pua... huku R Chugga atafurahi....hakuna hizo mapigo...
itategemea anatokea wapi mkuu. kama anatokea mnazi mmoja mbona fasta tu.
Malaya huteteana.
nyie mnaounga mkono ujinga huu dada zenu wakivaa hivi na kupiga picha za hiv kuweka mitandaoni mtafurahi?
wewe si ndio ulituambia ulienda na dada yako kariakoo kavaa kikaptura mapaja yote nje.....
ndio kulikuwa na joto ,sasa uyo mazingira ya alipopiga picha hakuonyeshi joto lolote zaidi ya kuonyesha raia,
dar ina joto mwaka mzima.....watu wengine hawasikii joto,siku hio dada peke yake ndio alikuwa anasikia joto???kwa kifupi WEMA kavaa kama dada yako alivyovaa ile siku na wewe ukawa ok kutembea nae,sasa leo ukimshangaa wema mimi naona kama ni unafiki,ungeanza na dada yako kabla hajatoka ndani kwenu ndio uje huku nje uwaseme akina wema