Ujana unatabu kweli kweli !!! Wema sepetu aanza kujidhalilisha upya.

Ndiyo keshaisha hivyo !!
Hata aseme ama miaka 18 mtu anayejitambua
havai hivyo.
 
nyie mnaounga mkono ujinga huu dada zenu wakivaa hivi na kupiga picha za hiv kuweka mitandaoni mtafurahi?

wewe si ndio ulituambia ulienda na dada yako kariakoo kavaa kikaptura mapaja yote nje.....
 
wewe si ndio ulituambia ulienda na dada yako kariakoo kavaa kikaptura mapaja yote nje.....

ndio kulikuwa na joto ,sasa uyo mazingira ya alipopiga picha hakuonyeshi joto lolote zaidi ya kuonyesha raia,
 
ndio kulikuwa na joto ,sasa uyo mazingira ya alipopiga picha hakuonyeshi joto lolote zaidi ya kuonyesha raia,

dar ina joto mwaka mzima.....watu wengine hawasikii joto,siku hio dada peke yake ndio alikuwa anasikia joto???kwa kifupi WEMA kavaa kama dada yako alivyovaa ile siku na wewe ukawa ok kutembea nae,sasa leo ukimshangaa wema mimi naona kama ni unafiki,ungeanza na dada yako kabla hajatoka ndani kwenu ndio uje huku nje uwaseme akina wema
 

jaribu kuangalia tofauti aliyevaa kaptura na uyo aliyeacha sehemu yote ya tumbo wazi ni sawa?

pia Sista alivaa vile hakuwa anaijua kariakoo vyema ilikuwa ajafika kwa takriban miaka 10 alikuwa mbali. na utamaduni wa uku haujui vizuri.

uyo wema anaujua vizuri hivo hustaili kuwafananisha
 
Kumbe Wema ameshaamia kutumia Samsung Galaxy? Nilidhani bado yuko na iPhone 4s.
 
Sasa hii picha ina utata gani jamani?

Hivi kweli mnajua maana halisi ya utata?
 
Ujana gani?. Biashara Matangazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…