Hio ni asilimia ndogo sana ukiwa kijana lazima ufanye mambo unayoendana na umri wako na ukishapita huko Kuna Rika la uzee umeshatulia Kuna wazee wa ovyo tuko nao mitaani huku na unajiuliza kwa umri alionao anayafanya haya mkuu amini nachokwambia hata Mimi kwenye ujana nishapita huko na sasa siwezi nikafanya mambo ya ovyo tena