Ujana wako utumie kwa adabu zote

Ujana wako utumie kwa adabu zote

Ni hulka ya mtu tu , wapo watu wanazeeka na starehezao walizoanza nazo toka ujanani , kuna watu wanazeeka bila kupitia anasa zozote zile
Hio ni asilimia ndogo sana ukiwa kijana lazima ufanye mambo unayoendana na umri wako na ukishapita huko Kuna Rika la uzee umeshatulia Kuna wazee wa ovyo tuko nao mitaani huku na unajiuliza kwa umri alionao anayafanya haya mkuu amini nachokwambia hata Mimi kwenye ujana nishapita huko na sasa siwezi nikafanya mambo ya ovyo tena
 
Back
Top Bottom