mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
GSM ni kundi la wajanja wajanja wasio na chembe ya uzalendo
Tumesikia wanavyotuhumiwa kucheza na mifumo ya kigi kuu niwaambiehaushii ligi kuu tuhatabandarini na TRA anacheza na mifumo tu.
Siku chache kabla ya Hayati Magufuli kuapishwa alijua kuwa segerea inamuhusu,akaifunga kampuni yaje ya Home Shopping Center,kampuni iliyoendeshwa kijanja kijanja tu.
Bahati mbaya
hakuna wa kumgusa kwa sasa