Ujanja ujanja wa Serikali ya CCM katika Picha

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Hii ndiyo serikali yetu kwenye ubora wake:













Kwa mtaji huu kuna haja ya kuziangalia upya zinazoitwa siri za rerikali.

Pia Kuna haja ya kukiangalia upya kinachoitwa "collective obligation" kwenye kuitetea serikali.
 
Sijui kwanini wasitumie zile Pesa zilizoongezeka maradufu baada mafanikio ya Royal Tour ili kutupunguzia Tozo ili tuweze kumudu mfumuko wa Bei baada ya kipato cha wakulima kuongezeka baada ya kuruhisiwa kuuza nje kutokana na huruma ya Serikali
 
Sijui kwanini wasitumie zile Pesa zilizoongezeka maradufu baada mafanikio ya Royal Tour ili kutupunguzia Tozo ili tuweze kumudu mfumoko wa Bei baada ya kipato cha wakulima kuongezeka baada ya kuruhisiwa kuuza nchi kutokana na huruma ya Serikali

Ukizingatia pia uchumi umeendelea kupaa kila mwaka, kuzidi kila mwaka wa nyuma na kuzidi kila awamu iliyopita.

Pia mapato zaidi kwenye kodi za majengo, pango, tozo za miamala, magawio tokea mashirika ya umma, mapato hospitalini, nk ambayo hayakuwahi kuwepo siku za nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…