Ujanja uliotumika kwa kocha wa Polisi Tanzania ndio utakaotumika kwa Coastal Union (Wanamangushi)

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Nani mjinga asiyekua na akili kwani Nani asiyejua kuwa Kuna mpango unatengenezwa makusudi ili mchezaji wa Simba sc apate kiatu Cha ufungaji Bora?

Kocha wa Polisi Tanzania hutufai katika ligi yetu kutokana na utumbo /njama za wazi zinazofanyika ili hao Mabwana angalau wafute machozi.

Coastal union na Simba sc ni Kama beka na Bakari tu tunajua Nini kitafuata lazima mazingira yatengenezwe ili Saidoo Ntibazonkiza achukue kiatu mbele ya Fistoni kalala Mayele.
 
Nashukuru umenisanua,nitampa Simba over 4.5

Mkuu SAYVILLE hii mechi itakuwa tarehe ngapi!?
 

Attachments

  • Screenshot_20230606-201725~2.png
    28.3 KB · Views: 4
 

Attachments

  • FB_IMG_1685865513846.jpg
    84.1 KB · Views: 2
Mbona mnalalamika sana, hata mkishindwa kuwafikisha kileleni wake zenu mtasema Simba ìnahusika
 
Malengo ya simba kila siku yanabadilika, sasa team inataka kuwa mfungaji bora,
Basi waruhusiwe magoli ya team nzima yajumlishwe, waendaliwe dinner na kupongezwa na Job Ndungai, wakodishiwe BM coach ile class ya juu.
Aahahjaa
 
Malengo ya simba kila siku yanabadilika, sasa team inataka kuwa mfungaji bora,
Basi waruhusiwe magoli ya team nzima yajumlishwe, waendaliwe dinner na kupongezwa na Job Ndungai, wakodishiwe BM coach ile class ya juu.
Kuna watu walenda na malengo ya kombe wakarudi na malengo ya medali
 
Sasa akichukua wewe unaumia nini kwa shutuma zako ambazo ni pumba hazina hata uthibitisho wowote? Kwani mpira si tumeuona wote ulivyochezwa? Kama Ntiba anastahili wacha achukue hakuna shida, tukutane msimu ujao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…