Hivi aliyesema mapenzi yana wajanja ni nani ?
maybe hapo ndio umekosea kuleta ujanja ujanja kwenye mapenzi..
just be yourself, take time and let it flow.., don't complicate the uncomplicated issue..,
(tayari mpo karibu your moves or her moves will determine kama mtaingia kwenye next level..)
Umeshazungumza nae kuhusu hilo swala la yeye kukukwepa??anatoa sababu gani ya msingi??
Muweke karibu practicaly sio mambo ya kuzoeana kwenye simu only..
Pangeni apointment ya kueleweka ili mzungumze face to face..
Kama you truly love each other then love will take the way,ukiona imeshindikana ujue it is never meant to be..
mnategeana au mnaogopana kuambiana ukweli.
Hii inatokana hofu ya kukataliwa.
Kila mmoja anawaza akikataa itakuwaje? Itakuwa aibu? Mnapoteza urafiki?
anapendelea kutembea? Week end ijayo nendeni out,tembeleeni zoo,sehemu za ukumbusho,ufukweni etc,punguza userious mu have fun halafu muulize tatizo lake,mnapendana lakini mnategeanaHapana ndugu yangu kiumri mm nimemzidi kiuwezo yy anategemea wazazi mm naendesha maisha yangu mwenyewe si tegemei cha mtu napia ktk maisha yangu nimejiwekea kuto taka cha mwanamke sababu najua mwishoe ni dharau na kejeli. Na kwake mm nampenda tu na nimemwambia anichukulie kama mwanachuo wa kawaida na sio kiongozi wa chuo na nimempa uhuru wa kuchagua. Ninacho shindwa kufahamu kwake nijinsi yatabia yake anapenda kuzungumza kwenye simu kuliko tukiwa pamoja na akiniona utakuta ananikwepa najaribu kumweka sawa lkn ananikwepa. Japo ktk cm anasema ananipenda tukionana ananikwepa ndio kinacho nishangaza mm? Unajua waweza kuwa mjanja lkn ukakwama kwa mambo madogo sana ndio nilivyo mm
Yan unaomba ushauri ili humtokee demu wangu? We f.a.l.a kwelahsante kwa ushauri nitaufanyia kazi
kijana wengi tumepita vyuo mbalimbali. huyo ujue anaye mtu sasa anaona soo kuwa nawewe hadharanikiukweli nampenda tena sana. Ila kinacho nishangaza ni hali ya kunikwepa tena. Naweza mwambia tuonane muda flani then akapotea asije ukimuuliza anajibu nilisahau akiwa mbali anaomba msamaha kwamba hatarudiatena. Sasa chaajabu jana kanipa taarifa kafiwa na mjomba wake nikamwambia leo nitakwenda kakataa nisiende tutaonana jumatatu chuo
kiukweli nampenda tena sana. Ila kinacho nishangaza ni hali ya kunikwepa tena. Naweza mwambia tuonane muda flani then akapotea asije ukimuuliza anajibu nilisahau akiwa mbali anaomba msamaha kwamba hatarudiatena. Sasa chaajabu jana kanipa taarifa kafiwa na mjomba wake nikamwambia leo nitakwenda kakataa nisiende tutaonana jumatatu chuo
Nani kakwambia wewe ni mjanja!! unadhani kuwa kiongoz wa chuo ndo ujanja? huyo keshakushinda, na kwa taarifa yako hajafiwa na mjomba wake wala nini, yupo kwa njemba limemuweka ndani linakula mzigo...LohHapana ndugu yangu kiumri mm nimemzidi kiuwezo yy anategemea wazazi mm naendesha maisha yangu mwenyewe si tegemei cha mtu napia ktk maisha yangu nimejiwekea kuto taka cha mwanamke sababu najua mwishoe ni dharau na kejeli. Na kwake mm nampenda tu na nimemwambia anichukulie kama mwanachuo wa kawaida na sio kiongozi wa chuo na nimempa uhuru wa kuchagua. Ninacho shindwa kufahamu kwake nijinsi yatabia yake anapenda kuzungumza kwenye simu kuliko tukiwa pamoja na akiniona utakuta ananikwepa najaribu kumweka sawa lkn ananikwepa. Japo ktk cm anasema ananipenda tukionana ananikwepa ndio kinacho nishangaza mm? Unajua waweza kuwa mjanja lkn ukakwama kwa mambo madogo sana ndio nilivyo mm