Ujanja wote lakini simuelewi nisaidieni

Ujanja wote lakini simuelewi nisaidieni

Hivi aliyesema mapenzi yana wajanja ni nani ?
maybe hapo ndio umekosea kuleta ujanja ujanja kwenye mapenzi..

just be yourself, take time and let it flow.., don't complicate the uncomplicated issue..,
(tayari mpo karibu your moves or her moves will determine kama mtaingia kwenye next level..)

Nimekuelewa ndugu yangu ahsante kwa ushauri nitaufanyia kazi na kuleta majibu kama +/-
 
Umeshazungumza nae kuhusu hilo swala la yeye kukukwepa??anatoa sababu gani ya msingi??
Muweke karibu practicaly sio mambo ya kuzoeana kwenye simu only..
Pangeni apointment ya kueleweka ili mzungumze face to face..
Kama you truly love each other then love will take the way,ukiona imeshindikana ujue it is never meant to be..

Ahsante kwa ushauri wako nitauanyia kazi kiukweli nimeupenda sana na unatoa jibu la uhakika. Ila kuhusu kumuuliza nilishawahi but akiwambali anasema halita jirudia anaomba msamaha lkn anairudia hy tabia
 
mnategeana au mnaogopana kuambiana ukweli.

Hii inatokana hofu ya kukataliwa.
Kila mmoja anawaza akikataa itakuwaje? Itakuwa aibu? Mnapoteza urafiki?

Hilo linawezekana analo yy coz nilisha mwambia awe huru kunijibu lolote na asichukue madaraka yangu kama chambo au kigezo cha kunikubali kama ananipenda anipende kama mwanachuo baki au mtu wa kawaida asiena madaraka yeyote kama nilivyo mpenda mm. Chaajabu ndio hicho kwenye cm anakubali face 2 face anakwepa kukabiliana na mm
 
Hapana ndugu yangu kiumri mm nimemzidi kiuwezo yy anategemea wazazi mm naendesha maisha yangu mwenyewe si tegemei cha mtu napia ktk maisha yangu nimejiwekea kuto taka cha mwanamke sababu najua mwishoe ni dharau na kejeli. Na kwake mm nampenda tu na nimemwambia anichukulie kama mwanachuo wa kawaida na sio kiongozi wa chuo na nimempa uhuru wa kuchagua. Ninacho shindwa kufahamu kwake nijinsi yatabia yake anapenda kuzungumza kwenye simu kuliko tukiwa pamoja na akiniona utakuta ananikwepa najaribu kumweka sawa lkn ananikwepa. Japo ktk cm anasema ananipenda tukionana ananikwepa ndio kinacho nishangaza mm? Unajua waweza kuwa mjanja lkn ukakwama kwa mambo madogo sana ndio nilivyo mm
anapendelea kutembea? Week end ijayo nendeni out,tembeleeni zoo,sehemu za ukumbusho,ufukweni etc,punguza userious mu have fun halafu muulize tatizo lake,mnapendana lakini mnategeana
 
ahsante kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
Unaomba ushauri kutokea daaaah, Nasiku akikukubalia uombe ushauri jinsi ya kum....pia.grow up!
 
kiukweli nampenda tena sana. Ila kinacho nishangaza ni hali ya kunikwepa tena. Naweza mwambia tuonane muda flani then akapotea asije ukimuuliza anajibu nilisahau akiwa mbali anaomba msamaha kwamba hatarudiatena. Sasa chaajabu jana kanipa taarifa kafiwa na mjomba wake nikamwambia leo nitakwenda kakataa nisiende tutaonana jumatatu chuo
kijana wengi tumepita vyuo mbalimbali. huyo ujue anaye mtu sasa anaona soo kuwa nawewe hadharani
 
Ilitakiwa ajue huyo dada wa darasani kwako ni mtu wako wa karibu.......you could have killed a prey with simple tool.....jealous!.......sasa kaona you are just a simple a Presidaa my foot humvutii tena,yamebaki mazoea tu,and she simply avoid you.

She chats with you mambo ya mapenzi just to like a friend material!

kiukweli nampenda tena sana. Ila kinacho nishangaza ni hali ya kunikwepa tena. Naweza mwambia tuonane muda flani then akapotea asije ukimuuliza anajibu nilisahau akiwa mbali anaomba msamaha kwamba hatarudiatena. Sasa chaajabu jana kanipa taarifa kafiwa na mjomba wake nikamwambia leo nitakwenda kakataa nisiende tutaonana jumatatu chuo
 
nahisi huyo dada ana men hapo chuo,thats why inamuwia vigumu kuamua au kuwa na wewe karibu,hebu jaribu kuchunguza kwanz
 
Hapana ndugu yangu kiumri mm nimemzidi kiuwezo yy anategemea wazazi mm naendesha maisha yangu mwenyewe si tegemei cha mtu napia ktk maisha yangu nimejiwekea kuto taka cha mwanamke sababu najua mwishoe ni dharau na kejeli. Na kwake mm nampenda tu na nimemwambia anichukulie kama mwanachuo wa kawaida na sio kiongozi wa chuo na nimempa uhuru wa kuchagua. Ninacho shindwa kufahamu kwake nijinsi yatabia yake anapenda kuzungumza kwenye simu kuliko tukiwa pamoja na akiniona utakuta ananikwepa najaribu kumweka sawa lkn ananikwepa. Japo ktk cm anasema ananipenda tukionana ananikwepa ndio kinacho nishangaza mm? Unajua waweza kuwa mjanja lkn ukakwama kwa mambo madogo sana ndio nilivyo mm
Nani kakwambia wewe ni mjanja!! unadhani kuwa kiongoz wa chuo ndo ujanja? huyo keshakushinda, na kwa taarifa yako hajafiwa na mjomba wake wala nini, yupo kwa njemba limemuweka ndani linakula mzigo...Loh
 
Back
Top Bottom