chavka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 223
- 46
Natumai muwazima wanajamii. Ila kuna kitui kimoja nipo nacho chuo sikielewi kihivi. Nikiwa mbali nacho kinanitafuta kwenye cm na kina tuma sms nyingi sana pia twaweza kujadili mambo mengi hata yakimapenzi but tukionana ananikwepa kuzungumza kihalisia. Mm ni raisi wachuo yy katibu mkuu. Lkn wakati na dat nilimwambia naongeanae kama mwanachuo na sio kama rais na nilimpa uhuru wa kukubali au kukataa. Na kabla sija fikiria kumtokea aliwahi kuniuliza swali la kunishangaza sana kama ninauhusiano na mdada wa darasa langu na akajijibu mwenyewe maana alidai walikuwa wana jadiliana kantini na wenzake.
Sielewe anataka nn kweli ananipenda? Then kwann ananikwepa
Sielewe anataka nn kweli ananipenda? Then kwann ananikwepa