Heshima kwenu,nipeni mwongozo ninamashine ya kusaga na kukoboa napia nafuga nguruwe had sasa wapo 18,nifanyeje ili nipate mkopo bank kwni lengo ni kuongeza had wafike 250 kufikia mwisho wa mwaka ujao na niwe na kampuni yangu ya ufugaji hapo baade kidogo ,he naisajili ipi mashine au ufugaji ?