Ujasilia mali

Ujasilia mali

Allam

Senior Member
Joined
May 4, 2013
Posts
142
Reaction score
9
Heshima kwenu,nipeni mwongozo ninamashine ya kusaga na kukoboa napia nafuga nguruwe had sasa wapo 18,nifanyeje ili nipate mkopo bank kwni lengo ni kuongeza had wafike 250 kufikia mwisho wa mwaka ujao na niwe na kampuni yangu ya ufugaji hapo baade kidogo ,he naisajili ipi mashine au ufugaji ?
 
Sajili kampuni moja yenye shughuli kwenye nyanja zote unazofikiria utazifanya katika siku za karibuni na zijazo.
Mf:
a. Kilimo
b. Kuongeza thamani mazao ya kilimo.
c. Ufugaji.
.
.
.
 
Back
Top Bottom