Ujasiliamali

Ujasiliamali

Humphrey Silvanus

New Member
Joined
Jul 16, 2013
Posts
3
Reaction score
0
Sorry wapendwa, mi sio mtaalam sana wa mambo ya ujasiliamali ila nlikuwa naomba mniambie ujasiliamali unafaida gani na unawezaje kuwa mjasiliamali?????
 
Mkuu Mjasirimali ni Kiongozi wa dhana zinginen zuzalishaji kama vile wanyakazi, Aridhi na mtaji, na mara nyingi mjasiriamai hujikita kutatua matatizo fulani katika jamii, ni mtu anaye ona furusa nakuamua kuibdilisha kuwa neema,

Mjasrimali hatangulizi faida mbele bali hujikita kutatua taizo fulani katika jamii yake, na Utajiri au pesa mra zote ni matokeo ya watu kukubali kazi yako, Huwezi ukawa tajiri kama jamii haijakubali kazi yako, labda uuze unga,

Ukitaka kuwa mjasiriamali ni wewe mwenyewe na roho yako, ni lazima ue na driving force ya kukuforce wewe kuwa mjasirimali so hiyo driving force unaijua mwenyewe, na baada ya hapo ndo unaweza anza safari ya Ujasirimali safari ambayo mara zote ni ngumu sana, ni sawa na vita hivyo untakiwa kupambana kufa na kupona na mara nyingi mafanikia yaani kilele cha mafanikio yako huja baada ya muda sana, Chukulia watu kama Mengi na wakina Azam, hawajaanza leo, ila leo hii wanafurahia matunda ya kazi yao na ni baada ya jamii kutambua kazi zao wanzo fanya that is why now ni matajiri wetu, so mkuu unaeza pata picha ya safari ilivyo, kuna sehemu utafikia unaweza filisika kabisa, ila kama mjasirimali hutakiwa kukata tamaa make wakina Tomas Edson walifeli mara buku kumi, SONY alifeli mara kibao kabla ya kuja kuwa shujaa leo hii, wakin Honda wote hao

Na katika Safari ya Ujasirimali some time inakugarimu hadi Kifo, wapo walio fariki wakiwa katika safari hii labda kwa ajari au katika jitihada za kuvumbua na kazalika, ILA HUTAKIWI KUOGOPA

SO HIVYO NDO SAFARI YA UJASIRIMALI ILIVYO,

FAIDAZAKE
- Mara nyingi watu huaznia fada zaujasirimali ni kuwa na pesa, hili si kweli, mjasirimali anafuraia pale anapo ona amesolve tatizo fulani mtaani kwake au katika nchi yake, Thomasi edson leo hii watu wanafurahia kazi yake ya kugundua Balbu

images


 
Umenifungua macho ndugu yangu, mi nlikua kwenye kundi la kujua faida ya ujasiriamali kuwa ni kupata faida kipesa tu
 
Back
Top Bottom