Ujasiri huu si wa nchi hii.

Ujasiri huu si wa nchi hii.

Sure Mimi napiga virungu,tena sio virungu ni marungu. Na wanaokutana na rungu langu wananipa kile nachokitaka and no body counts,than you na ela zako za ngama yet zinakutia mawazo,hujasikia kwamba starehe gharama.

Pambana na hali yako
Mtoto ww hakika utakuwa vitu adimu sana..jana nilikiwa radhi nikutumie ata Jet uje tupige threesome.

Apa nina Ka laki7 kamekosa kazi asee, tunafanyaje sasa weekend leo
 
Sio kosa lako mkuu ni kosa la maisha yalivyo magumu ujue
Kumbe mnafaham kua maisha yamebadilika,mbona wenzio wanajitoa ufahamu,hawajui lolote,wao ni mizinga kwa kwenda mbele,
 
Back
Top Bottom