Ona confidence ya kiongoziDunia imebadilika sana
Baadhi ya Viongozi Wetu ni raia wa Marekani 😄
hao wanavyuo nao ni mazuzu na walimu wao, haki ni haki tu ilimradi huvunji sheria, ichukue kwa nguvu kama una uhakika 100% kuwa ni haki yako..Kama mnakataza hata wanavyuo wasijadili mambo ya nchi mkisema hiyo ni siasa. Unategemea huo ujasiri wa kuhoji utaupata wapi?
Unazungumzia haki ipi ikiwa wanaostahili kupata mikopo hawapati ?? Haki ipi unayoimba hapa ikiwa wanaomaliza vyuo hawapati kazi? Watu wanaporwa pesa kwa sheria mbovu na kisha wanateuliwa kwa nafasi za juu zaidi???hao wanavyuo nao ni mazuzu na walimu wao, haki ni haki tu ilimradi huvunji sheria, ichukue kwa nguvu kama una uhakika 100% kuwa ni haki yako..
baada ya kuona hivyo wewe umefanya nini? unaingia uvunguni mwa kitanda chako na kuanza kulia na kunung'unika? Siku hizi Mwanafunzi wa chuo kikuu anawaza na kufanya kama mwanafunzi wa kidato cha nne wa miaka ile. Wakati ule hata shule za sekondari haki zilikuwa zinadaiwa na zinapatikana. Ajira!!! anza kwa kujitolea (volunteering) bila malipo ili uchote ujuzi na uzoefu kisha tafuta ajira au jiajili mwenyewe. Unapofanyakazi kwa kujitolea fanyakazi kwa usahihi wa hali ya juu, juhudi na maarifa ili kumshawishi mwajili.Unazungumzia haki ipi ikiwa wanaostahili kupata mikopo hawapati ?? Haki ipi unayoimba hapa ikiwa wanaomaliza vyuo hawapati kazi? Watu wanaporwa pesa kwa sheria mbovu na kisha wanateuliwa kwa nafasi za juu zaidi???