Mbuty
JF-Expert Member
- Sep 16, 2011
- 411
- 238
Hali ya Wanaume kugeuka pindi anapipita binti mwenye kutamanisha (hususan mavazi au maungio) imekuwa intrend sana hususan kwenye miji, baadhi hugeuka shingo ama hutumia njia mbadala ikiwemo hata vioo vya pembeni vya gari kwa wale wenye magari.
Leo, nimeshinda jaribio la aina hiyo, nikiwa kwenye foreni ya kimuona Daktari, alipita mdada ambaye hata wadada na wamama waligeuka pamoja na baadhi ya wakaka ofcoz!
Sasa mimi nikiwa kwenye benchi sehemu ya kuonekana na kila mtu, nikiwa na pete ya ndoa inayongara(ya dhahafu ofcoz) ghafla nikaingiwa na ujasiri wa kuperuzi simu yangu hadi yule mrembo akatokomea!
Well, experience hii natumai inaweza kuwatia moyo wengine[emoji4][emoji16][emoji3526]