It is very strange leo serikali inageuka ni mtetezi wa kiroho
Wakati kazi ya serikali ni kuangalia human scientific solutions kukabiliana na matatizo,yenyewe imeamua kugeuka watalaamu wa dini
Hii mambo ya kiroho and all its fake stuff waachieni mapadri na mashehe
Unataka kuniambia kila tatizo nchi hii serikali itakua inakimbilia "roho" kutatua?
Tuseme ikitokea mafuriko,radi,ujinga,miundombinu,kipindupindu,ajali,moto,bomu,etc serikali itakua inakimbilia "kiroho" kutafuta masuluhisho yake?
Serikali sio wataalamu wa roho,serikali itumie resources zilizopo za elimu,fiscal,wisdom,kimpango,mikakati,etc kutatua hizi shida
Sio eti "kiroho"....
Leo serikali ina PHD ya Theology na roho za watu
Stupid bunch of people indeed