Ujasiri

Ujasiri

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
*Ujasiri ni nini?*
*Ujasiri ni kupewa na baba yako elfu kumi alafu uikague mbele yake kama ni feki*
[emoji23][emoji23]🤣🤣🤣
 
Ujasiri ni kuvaa mabomu mwilini na kujiua bila kujuwa unajiua kwa ajili ya nini kama wafanyavyo vijana wa kiislam.
 
Ujasiri ni ile hali mmekaa wanafamilia wa ukweni kwenye kikao alaf ikatokea mkasikia harufu ya kijambo, kwa ujasiri ukasema mbele ya halaiki kuwa kama sio wewe uliejamba basi kwa hakika atakuwa baba mkwe[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Daaa wewe kweli jasiri
 
Back
Top Bottom