AsanteNapatikana Kahama mkoa Wa Shinyanga kwa maana ya physical location ya kiwanda changu.
Mafunzo haya kupitia sido nayatoa popote ndani ya Tanzania kulingana na uhitaji.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi 0765985977.
Naomba kama kuna mtu ana utalamu juu ya utengenezaji wa yoghurt tupeane mbinu na changamoto za biashara
Pia ningependa kufahamishwa juu ya utayarishaji wa maziwa ya unga
Poa poa mkuu