AsanteNapatikana Kahama mkoa Wa Shinyanga kwa maana ya physical location ya kiwanda changu.
Mafunzo haya kupitia sido nayatoa popote ndani ya Tanzania kulingana na uhitaji.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi 0765985977.
Sent using Jamii Forums mobile app