S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Feb 23, 2013 Thread starter #21 Madame B said: Nilikuwa mcheza shoo wa Pepe Kale enzi hzo. Kwa hyo yale mapensi nyanya ya kazi na misulupwete ya kale ndo ninayo. Afu kama kawa,nilimuibiaga bosi wangu PK, nguo zake. Sa ndo naziuza. Click to expand... nguo za marehemu? Lol
Madame B said: Nilikuwa mcheza shoo wa Pepe Kale enzi hzo. Kwa hyo yale mapensi nyanya ya kazi na misulupwete ya kale ndo ninayo. Afu kama kawa,nilimuibiaga bosi wangu PK, nguo zake. Sa ndo naziuza. Click to expand... nguo za marehemu? Lol
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Feb 23, 2013 #22 Njoo uchukue hapa kuna belo kama tano na hela ya usafi ntakupa.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,886 Feb 23, 2013 #23 SI unit said: . Preta angalia huko kny kabati nianze kazi mara 1, hata za 'bi.ki.ni' zinapokelewa! Click to expand... Last week tu nimesafisha kabati yangu........ulichelewa........nilikuwa na vitenge na kanga za kutosha.......... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
SI unit said: . Preta angalia huko kny kabati nianze kazi mara 1, hata za 'bi.ki.ni' zinapokelewa! Click to expand... Last week tu nimesafisha kabati yangu........ulichelewa........nilikuwa na vitenge na kanga za kutosha..........