ujasiriamali umetimiza ndoto zangu

ujasiriamali umetimiza ndoto zangu

pre2i

New Member
Joined
Dec 10, 2012
Posts
4
Reaction score
2
Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea kichwani kuwa ajira ya ofisin tu ndo itakupa maisha mazuri. La Hasha! Watanzania tuamke sasa na tujifunze kujiajiri wenyewe. Mimi nimejiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo sana na kwa muda mfupi tu nimeshapata mafanikio katika maisha yangu. Napata muda wa kukaa na familia yangu, najipangia muda wa kuanza kufanya kazi na naishi maisha ya uhuru bila kusumbuliwa na mtu. Nawahimiza sana kina mama kuanza biashara hii kwani mara nyingi wao ndio wanaohamgaika sana kuhakikisha kuwa mwisho wa siku familia ipo kwenye hali nzuri. Kina baba pia mnaruhusiwa.
N :B kwa wale ambo wameajiriwa na hawataki kuacha kazi zao unaweza kufanya biashara hii kwa part time. Kwa wale wa Arusha na Moshi nitafute ili nikupe siri ya mafanikio yangu.
0753 38 22 00
 
Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea kichwani kuwa ajira ya ofisin tu ndo itakupa maisha mazuri. La Hasha! Watanzania tuamke sasa na tujifunze kujiajiri wenyewe. Mimi nimejiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo sana na kwa muda mfupi tu nimeshapata mafanikio katika maisha yangu. Napata muda wa kukaa na familia yangu, najipangia muda wa kuanza kufanya kazi na naishi maisha ya uhuru bila kusumbuliwa na mtu. Nawahimiza sana kina mama kuanza biashara hii kwani mara nyingi wao ndio wanaohamgaika sana kuhakikisha kuwa mwisho wa siku familia ipo kwenye hali nzuri. Kina baba pia mnaruhusiwa.N :B kwa wale ambo wameajiriwa na hawataki kuacha kazi zao unaweza kufanya biashara hii kwa part time. Kwa wale wa Arusha na Moshi nitafute ili nikupe siri ya mafanikio yangu. 0753 38 22 00
dada ni biashara gani isiyo na jina chini ya jua? Taja hiyo biashara hadharani kisha watu waijue, walio wako utawapata tu, hizi biashara za kujificha hazina nafasi nyakati hizi.
 
Sasa mbona unaongea nusunusu.Kama umeamua kufunguka funguka tu tuambie unafanya biashara gani na ulianzaje ili tujifunze
 
Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea kichwani kuwa ajira ya ofisin tu ndo itakupa maisha mazuri. La Hasha! Watanzania tuamke sasa na tujifunze kujiajiri wenyewe. Mimi nimejiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo sana na kwa muda mfupi tu nimeshapata mafanikio katika maisha yangu. Napata muda wa kukaa na familia yangu, najipangia muda wa kuanza kufanya kazi na naishi maisha ya uhuru bila kusumbuliwa na mtu. Nawahimiza sana kina mama kuanza biashara hii kwani mara nyingi wao ndio wanaohamgaika sana kuhakikisha kuwa mwisho wa siku familia ipo kwenye hali nzuri. Kina baba pia mnaruhusiwa.
N :B kwa wale ambo wameajiriwa na hawataki kuacha kazi zao unaweza kufanya biashara hii kwa part time. Kwa wale wa Arusha na Moshi nitafute ili nikupe siri ya mafanikio yangu.
0753 38 22 00

Hapo kwenye red, kuuza Forever Living lini ikawa siri ya Mafanikioa? acha uzindiki
 
huyu Jamaa hana Lolote
uhuni Mtupu!
Mi Haunipati Ng'oo..
Mwizi Mkubwa We!
 
Biashara gani ya mafanikio ya muda mfupi!?au unamaanisha nini unaposema umepata mafanikio kwa muda mfupi,funguka tafadhali.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Biashara gani unafanya yenye kificho? unauza kete? kama kutembeza forever products weka wazi kabla mtu ajamaliza vocha zake
 
Forever living products!!!!!!!!! Kama sio natoa zawadi
 
Biashara za kufanya kwenye kificho hazina maana yoyote! Labda biashara ya Madawa ya kulevya maana huwezi kunika unafanya nini. Kama umethubutu kupost hapa Jf huna budi kuanika kila kitu!
 
dada ni biashara gani isiyo na jina chini ya jua? Taja hiyo biashara hadharani kisha watu waijue, walio wako utawapata tu, hizi biashara za kujificha hazina nafasi nyakati hizi.

mkuu malila ntakutafuta kuhusu biashara ya miti later this year.nimefuatilia sana michango yako..MICHANGO YAKO IMEBADILISHA MAISHA YANGU.
 
Labda anauza sukari . Hii kitu siku hizi inasoko kubwa hasa hapa Dar.
 
mkuu malila ntakutafuta kuhusu biashara ya miti later this year.nimefuatilia sana michango yako..MICHANGO YAKO IMEBADILISHA MAISHA YANGU.

Asante,

Karibu ujiunge nasi upate faida ya kuunganisha nguvu ktk huu uwekezaji. May/june tunaanza kuandaa miche ya pines ya msimu ujao, sasa hivi tunaotesha na september tunaotesha miche ya saligna/acrocarpus. Nimekupa wazi ili ujue mapema kuwa usipokuwa na miche ya kwako utaumia sana kama utanunua kwa watu.
 
Hapo kwenye red, kuuza Forever Living lini ikawa siri ya Mafanikioa? acha uzindiki

Moshi na Arusha ni ukanda wa biashara ya kuhudumia watalii naona imemchanganyia, labda mkimbana atafunguka, imekuwa kupeana namba za simu?! au anauza ngozi za chui?
 
ukiona mtu anakuitia biashara vichochoroni bac ujue itakuwa Forever...

ni kweli mkuu. hii itakua ni forever products. lakini hata hivyo angeongea tu. coz wapo watu kama yeye walikuja wakaondoka. mia
 
The poor will remain poor until they realize that THINKING is FREE
 
Asante,

Karibu ujiunge nasi upate faida ya kuunganisha nguvu ktk huu uwekezaji. May/june tunaanza kuandaa miche ya pines ya msimu ujao, sasa hivi tunaotesha na september tunaotesha miche ya saligna/acrocarpus. Nimekupa wazi ili ujue mapema kuwa usipokuwa na miche ya kwako utaumia sana kama utanunua kwa watu.

shukrani mkuu! Ntakutafta
 
Back
Top Bottom