ujasiriamali umetimiza ndoto zangu

ujasiriamali umetimiza ndoto zangu

Na hii ndo biashara yenyewe ukimpigia simu dah akili kumkichwaa!!
 
Ukiona mtu kaweka Post then Kaacha na namba za simu ujue ni Forever Living a.k.a GNLD, Usanii mtupu hapo,

mie wananiudhi hao!! ningekuwa mod ningewapa parmanent ban. lol
 
Huyu mtoa mada ana masihara na watu wenye machungu na maendeleo.... Acha kupotezea watu muda bana!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
huyu Jamaa hana Lolote
uhuni Mtupu!
Mi Haunipati Ng'oo..
Mwizi Mkubwa We!

ni kweli angekua muwazi hapo tungemuelewa hata kama drugs we sema au mirungi a.k.a gomba nini?
 
Ukitaka kujua jinsi ya kufaidi kwenye biashara ya mtandao, zungumza na wale waliofanikiwa kwenye hii biashara manake wapo. Ni biashara ya halali inayotambulika na Serikali ya Tanzania.

Usifuate maneno ya watu ambao pengine walikata tamaa nazo sasa yao ni kukatiza tamaa. kama mtu mwingine alishindwa, sio lazima wewe pia ushindwe. Cha muhimu ni bidii na uvumilivu kama biashara yoyote nyingine. Asikudanganye mtu kwamba hii biashara ni rahisi. Ukweli ni kwamba inalipa tu unapo jitahidi. Lakini kama bado unaamini kutajirika unatokana na kua muoga na kusikia maneno ya watu, mh usije ukaiba manake utajiri hauji kwa kuajiriwa.

Jaza form hii kupata maelezo zaidi kuhusu kampuni ya Oriflame Sweden inayowapa watu nafasi ya kujiinua kimaisha kuanzia mtaji mdogo Registration Form
 
Mwacheni anaelewa anachouza na tusipote muda
 
tunaamini kwa muwazi na mkweli tu, majambazi ni wengi siku hizi weka hadharani watu tujifunze
 
nyinyi watu wa forever living mnapenda kijipa moyo sana kama waumini wa makanisa ya waliokata tamaa! sa kama na nyinyi ni wajasilia mali kwanini munaendelea kuhangaika na bidhaa za wenzenu muda wote bidhaa toka marekani, hamuoni kua huo nao ni utumwa mamboleo!??? yaan unatumika ukiwa unafurahia kutumika, alafu mnasumbua sana bwana, m2 unataka kumueleza kuhusu biashara eti hadi uwe nae uso kwa uso sasa huoni kama ukikutana nae ukamwambia kitu ambacho anakifahamu na ameamua kukiacha utakua umemdisapoint sana! acheni bwana,,,,
Kwa Tanzania sasa ndo tunafumbua macho kuhusu ujasiriamali, baada ya tatizo la ajira kuongezeka kwa kasi ya ajabu. Mtu anamaliza chuo anakaa mtaan miaka bila kupata ajira. Na wengi wameshajiwekea kichwani kuwa ajira ya ofisin tu ndo itakupa maisha mazuri. La Hasha! Watanzania tuamke sasa na tujifunze kujiajiri wenyewe. Mimi nimejiajiri mwenyewe kwa mtaji mdogo sana na kwa muda mfupi tu nimeshapata mafanikio katika maisha yangu. Napata muda wa kukaa na familia yangu, najipangia muda wa kuanza kufanya kazi na naishi maisha ya uhuru bila kusumbuliwa na mtu. Nawahimiza sana kina mama kuanza biashara hii kwani mara nyingi wao ndio wanaohamgaika sana kuhakikisha kuwa mwisho wa siku familia ipo kwenye hali nzuri. Kina baba pia mnaruhusiwa.
N :B kwa wale ambo wameajiriwa na hawataki kuacha kazi zao unaweza kufanya biashara hii kwa part time. Kwa wale wa Arusha na Moshi nitafute ili nikupe siri ya mafanikio yangu.
0753 38 22 00
 
Back
Top Bottom