Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k
Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada ya kuondoa gharama za uendeshaji, ndipo changamoto za biashara uanza; unakuta umewekeza mtaji labda milioni 5, faida uliyopata labda laki 5 n.k
Kama sio mvumilivu, utajikuta unafunga biashara; na hii ndio sababu kuu ya kuwapoteza watu wengi waliokuwa kwenye bishara na sasa hawapo.
Inawezekana biashara ni kubwa na ina mapato mengi; lakini baada ya kuondoa gharama za uendeshaji, ndipo mwekezaji atatathmini kama faida inamshawishi n.k
Ila mjasiriamali halisi, huvumilia kwa kutafuta namna ya kupunguza gharama za uzalishaji, ili kubaki katika biashara.