Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Ukihitaji ufanye kisasa zaidi ili upambane au uwe na market share mtaji wa kiasi gani unahitajika mkuu?
Mkuu inategemea na volume unazotaka kuzalisha.
Kama unajengo mtaji si mwingi sana kwa uzalishaji wa Lita 2000.

Jengo ndio huchukua fedha nyingi
 
Asante sana mkuu, mimi nnasubiria utakapofika somo la maziwa ya unga
Hakuna kiwanda cha maziwa ya Unga hapa Bongo.
Hii ni kutokana na ukosefu wa malighafi.

Maziwa ya Unga unahitaji zaidi ya lita milioni moja za maziwa.

Kiwanda kikubwa cha Tanga freshi kina uwezi wa lita laki moja tena bado kwa shida sana.

Hivyo kwa maziwa tulio nayo hayatoshi kutosheleza maziwa ya unga.
 
Mkuu inategemea na volume unazotaka kuzalisha.
Kama unajengo mtaji si mwingi sana kwa uzalishaji wa Lita 2000.

Jengo ndio huchukua fedha nyingi
Jengo hata la kukodi pa kuanzia kwanza, napenda kujua mtaji hata la lita 2000 inaweza kuwa tshs ngapi roughly?
 
30M,
hapo itakubidi ununue mitambo kabisa na kigar cha kusafirisha
Million 30 kwa materials na vifungashio tu,mitambo kuna wahindi fulani walitumia quotation dollar elfu 45 ila ushuru si itakuwa nusu na je maziwa yapo ya kutosha kutoka kwa wafugaji?
 
ndio mkuu, nitofauti.
Isome mada vzr
Baada ya kusoma utengenezaji wa Yogurt nimegundua hicho ndicho nimekuwa natengenza kwa muda mrefu. Halafu maziwa yake yana radha tamu mkuu ila mimi huwa natengeneza kwa ajili ya familia na kutumia kiini toka yale ambayo nilitengeneza kabla. Je kuna tatizo kiafya, ingawa sijawahi ona ila huwezi jua.
 
Hakuna kiwanda cha maziwa ya Unga hapa Bongo.
Hii ni kutokana na ukosefu wa malighafi.

Maziwa ya Unga unahitaji zaidi ya lita milioni moja za maziwa.

Kiwanda kikubwa cha Tanga freshi kina uwezi wa lita laki moja tena bado kwa shida sana.

Hivyo kwa maziwa tulio nayo hayatoshi kutosheleza maziwa ya unga.
mkuu ungedadavua kidogo hapa
 
Baada ya kusoma utengenezaji wa Yogurt nimegundua hicho ndicho nimekuwa natengenza kwa muda mrefu. Halafu maziwa yake yana radha tamu mkuu ila mimi huwa natengeneza kwa ajili ya familia na kutumia kiini toka yale ambayo nilitengeneza kabla. Je kuna tatizo kiafya, ingawa sijawahi ona ila huwezi jua.
Hakuna tatizo kutumia yoghurt iliyopita kugandisha maziwa. Hiyo ji natural culture.
Kikubwa uiitahidi katika hygiene na kuzuia contamination ili usitengeneze maziwa yenye maji, kukata kwa maziwa na yoghurt kuchacha haraka.
 
Nashukuru kwa ushauri na mimi nipo sensitive sana kwenye maziwa sababu ndo mlo wangu mkuu.
 
Back
Top Bottom