Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Ujasiriamali: Usindikaji wa Yoghurt na Mtindi

Mkuu Mimi ninaujuzi kidogo na hizi product ila shida yangu nataka churning machine je! Kwa dar zinapatikana wapi?
 
mkuu food scientist naomba kidogo elimu juu ya vigezo vya kukidhi ili kupata ridhaa ya TFDA na TRA kwenye biashara hii
 
Mkuu naona hujazungumzia zile mamlaka za serikali zatakazo kuwa zinasimamia ubora wa bidhaa zako, mfano TFDA, TBS n.k
Nadhani kwenye gharama za kuanzia ilitakiwa na hiyo iwemo, plus kodi za majengo ili tupate gharama halisi ya kuinzia.

Lakini umetoa mwanga mzuri sana kwa wenye nia na hii kitu.
Binafsi nimeipenda sana. Tuwasiliane tuone tunafanhaje, mi mtaji ninao
Baada ya kupata hii elimu ulifanikiwa kuanza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe binafisi ushaanza mkuu? ili niweze kupata kibarua hapo kwako?
Nazalisha,
Karibu sana.
IMG-20191229-WA0001.jpeg
IMG-20191228-WA0101.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom