Ujasiriamali wa Mbuzi VS kuku upi una changamoto na risk?

Ujasiriamali wa Mbuzi VS kuku upi una changamoto na risk?

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,965
Wakuu kama uzi unavyojieleza Kati ya mbuzi na kuku ufugaji upi unaweza kukupa tija bila kukumbana na majanga ya magonjwa kama kuku mfano gomboro. Kideli nk.. Najua Kuna watu humu wameula wa chuya kwenye kuku mimi m1 wapo Sasa tucheki mbuzi Kwa upande wa pili.kama wewe ni mdau karibu ujiunge kweny link hii
Ufugaji wa mbuzi
 
Sidhani kama kuna biashara duniani isiyokuwa na changamoto wala 'risk'!


Anyway ngoja tusubiri wadau waje
 
nadhan mbuzi hana risk km kuku !ukiachana na kuibiwa au kupotea !mie kote nipo humo
 
Kuku changamoto sanaa.... Ila faida ni kubwaa.... Mi kuku nateseka nao haswa na ugonjwa WA ndui wakiwa wadogo...
 
Tupe mkuu mawili ma3 na sisi tunufaike

mbuzi mie nimeanza mwaka huu mwanzoni sijaona risk zaid ya kuugua minyoo na kuppotea !kuku ndo umakini unahitajika zaid !ila ukishawapa zile kinga zake kwa muda stahiki hakuna shida kabisa!
 
Back
Top Bottom