Ujasiriamali

Ujasiriamali

Senior masai

Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
88
Reaction score
89
Naombeni mtu wa kunipa details nikihitaji kuwa mtengenezaji wa mafuta na sabuni za kuogea na formula zake
Naomba kama kuna chuo wanatoa course kama hizi aniambie nikasome
 
Naombeni mtu wa kunipa details nikihitaji kuwa mtengenezaji wa mafuta na sabuni za kuogea na formula zake
Naomba kama kuna chuo wanatoa course kama hizi aniambie nikasome
Njoo inbox tuyajenge mkuu, refer Uzi wangu huu hapa chini.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nipo kwenye sekta hiyo mwaka wa tano huu weka kibunda chakueleweka nikufundishe kazi

Kujua kutengeneza bidhaa peke yake haitoshi
 
Back
Top Bottom