Hamjambo wandugu,
Nimejifunza kupamba kumbi za sherehe. Sina uzoefu sana. Kwa sasa napamba kwa gharama ndogo sana ili kupata uzoefu.
Kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi hii, naomba kufuatana naye kwenye kazi zake hata kwa kulipa ili nipate uzoefu zaidi.
Asanteni