Neanne Member Joined Apr 23, 2013 Posts 24 Reaction score 5 Jun 25, 2013 #1 Hamjambo wandugu, Nimejifunza kupamba kumbi za sherehe. Sina uzoefu sana. Kwa sasa napamba kwa gharama ndogo sana ili kupata uzoefu. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi hii, naomba kufuatana naye kwenye kazi zake hata kwa kulipa ili nipate uzoefu zaidi. Asanteni
Hamjambo wandugu, Nimejifunza kupamba kumbi za sherehe. Sina uzoefu sana. Kwa sasa napamba kwa gharama ndogo sana ili kupata uzoefu. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na kazi hii, naomba kufuatana naye kwenye kazi zake hata kwa kulipa ili nipate uzoefu zaidi. Asanteni
Neanne Member Joined Apr 23, 2013 Posts 24 Reaction score 5 Jun 25, 2013 Thread starter #2 Hii ni kati ya moja ya kazi nazofanya. Attachments uploadfromtaptalk1372149653417.jpg 79.4 KB · Views: 132
R rasai JF-Expert Member Joined Jun 24, 2013 Posts 230 Reaction score 341 Jun 25, 2013 #3 Neanne said: Hii ni kati ya moja ya kazi nazofanya. Click to expand... kazi nzuri. hongera, utafanikiwa
Neanne said: Hii ni kati ya moja ya kazi nazofanya. Click to expand... kazi nzuri. hongera, utafanikiwa
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Jun 29, 2013 #4 hongera, polepole ndio mwendo utafika tu.
mito JF-Expert Member Joined Jun 20, 2011 Posts 10,682 Reaction score 10,801 Jun 29, 2013 #5 jitahidi kuhudhuria vikao vya harusi upate tenda ya kupamba, ila usiwe bahiri wa kutoa michango