Naandika katika roho na mwenye macho ya kijasusi katika roho ashauri kiti kikae mbali na huyu anaitwa Askofu Gwajima..
Huyu ana secret code ukimuuwa au kumfanya chochote code nyingine inakuwa activated.. Ana siri hafai kuguswa wala kuuwawa niushauri ila mnaweza endelea
Zambia toka wamuweke ndani Rais wao wakwanza mpaka leo hakuna Rais ameishi mda mrefu hata huyu wa mwisho naye hatunaye yaani one code
Congo PatrickLumumba mpaka wa leo nchi haijapoa
USA mauwaji ya USA Contract yalio fanywa na Iran... mpaka leo Iran wanajuta yale mauwaji hasara ya watu na mali kwa kile kifo hawatosahau.
Kule Palestine mauwaji ya wa Israel 1k na kuangamia kabisa kwa Hamas...
Tanzania kifo cha Magufuli na mtikisiko wa Taifa na chama kwa miaka ina kuja Hupaswi sheherekea kifo cha Magufuli wala laumu maana siku zinakuja kila mmoja atajifungia ndani kwa hofu hofu itawashika watawala na jinamizi la mauti litawasonga zaid ya lile lakipindi cha Magufuli.
View: https://m.youtube.com/watch?v=dAosCABUHyU