Pole sana, Gwajima yupo kazini na wanaofanya unayofikiria ni hao hao wamempa hiyo kazi. Fanyakazi nduguNaandika ktk roho na mwenye macho ya kijasusi ktk roho ashauri kiti kikae mbali na huyu anaitwa Askofu Gwajima..
Huyu ana secret code ukimuuwa au kumfanya chochote code nyingine inakuwa activated.. Ana siri hafai kuguswa wala kuuwawa niushauri ila mnaweza endelea
View: https://m.youtube.com/watch?v=dAosCABUHyU
Muongo wewePole sana, Gwajima yupo kazini na wanaofanya unayofikiria ni hao hao wamempa hiyo kazi. Fanyakazi ndugu
Usilazimishe watu wafuate unachofuata wewe, we endelea na safari yako ya gizani kimya kimyaPole sana, Gwajima yupo kazini na wanaofanya unayofikiria ni hao hao wamempa hiyo kazi. Fanyakazi ndugu
Gwajima ni mhalifu na anatakiwa ashughulikiwe. Kuwa Kiongozi wa dini hakumpi mamlaka na nchi bali na wafuasi wake tuNaandika katika roho na mwenye macho ya kijasusi katika roho ashauri kiti kikae mbali na huyu anaitwa Askofu Gwajima..
Huyu ana secret code ukimuuwa au kumfanya chochote code nyingine inakuwa activated.. Ana siri hafai kuguswa wala kuuwawa niushauri ila mnaweza endelea
View: https://m.youtube.com/watch?v=dAosCABUHyU
Naomba kueleweshwa, Gwajima anatakiwa ashughulikiwe kwa kosa lipi? Au kukataa kupokea barua ya kufutwa kanisa lake ?Gwajima ni mhalifu na anatakiwa ashughulikiwe. Kuwa Kiongozi wa dini hakumpi mamlaka na nchi bali na wafuasi wake tu
Mhalifu afunguliwe shtaka court, mwanasheria wake aarifiwe,Gwajima ni mhalifu na anatakiwa ashughulikiwe. Kuwa Kiongozi wa dini hakumpi mamlaka na nchi bali na wafuasi wake tu
Uhalifu wake ni nini kupinga utekaji na mauaji yanayoamriwa na suluh ndio uhalifu?Gwajima ni mhalifu na anatakiwa ashughulikiwe. Kuwa Kiongozi wa dini hakumpi mamlaka na nchi bali na wafuasi wake tu
Hatumuachi hadi tumbinye ndeke kama yule mkenyaNaandika katika roho na mwenye macho ya kijasusi katika roho ashauri kiti kikae mbali na huyu anaitwa Askofu Gwajima..
Huyu ana secret code ukimuuwa au kumfanya chochote code nyingine inakuwa activated.. Ana siri hafai kuguswa wala kuuwawa niushauri ila mnaweza endelea
View: https://m.youtube.com/watch?v=dAosCABUHyU