Ujasusi mkiwa faragha: Haji Manara yamemkuta

Ujasusi mkiwa faragha: Haji Manara yamemkuta

Semaji la tigo. Role model wa wengi
Huyo mtu ni mshenzi. Sema wasanii na watu wengi maarufu wanapendaga kutimiza fantasies zao za kipuuzi. Anachopost Mange hata robo ya matukio yote hayajafika. Mwaka 2019 nilishangaa sana kugundua warembo kadhaa wa Bongo movie na muziki wanavuta bangi kama hawana akili timamu.
 
Yan Manara naye ni role model wa mtu kabisaa?? Mwenye akili zake kichwan!!
Wapo wengi wamejaa kwenye ule uzi unaompongeza manara kupata usemaji wa tigo.

Tigo na yenyewe ijitafakari inajishushia heshima kumchukua mtu ambae anapenda skendo za ajabu ajabu.
Manara anapenda haya mambo na upuuzi mwingine anajirekodi kabisa mwenyewe ili kutafuta kiki.
 
bas kazi kwel ipo. Role model wangu eti awe manara, kwel kabisaa?? Kwa jambo gani hasa?? Utu? Proffesionalism???social stuffs?? Nin yani??..

LAbda ndio maana watu wakisikia TIGO akili zinaenda mbali😂 ..
 
Huyo mtu ni mshenzi. Sema wasanii na watu wengi maarufu wanapendaga kutimiza fantasies zao za kipuuzi. Anachopost Mange hata robo ya matukio yote hayajafika. Mwaka 2019 nilishangaa sana kugundua warembo kadhaa wa Bongo movie na muziki wanavuta bangi kama hawana akili timamu.
Sasa bangi inaubaya gani na hao warembo, mbona mrembo wetu Demi anavuta na hana tatizo na mtu
 
Wakuu tuwe makini sana ikibidi tuwe wajajusi hasa kwa Hawa wenzetu maarufu na hata ambao si maarufu kina sisi

...ukiwa faragha na mademu zetu kuwa jasusi sm zote off ukakuguzi wachumba na mwenza huwa wa Hali ya juu kama unamkagua gaidi vile
Haya si matumizi sahihi ya seva na muda, unaandika kama wote humu mko kijiwe kimoja
 
Kuna bwana mmoja alifanya utafiti wake baada ya kushtukia mambo kadhaa kwenye hotel moja mitaa ya Sinza, akawa anachukua room anaficha 5000 katika maeneo tofauti tofauti ya room kwa nyakati tofauti tofauti, akirudi siku nyingine akitazama fedha alipoficha anakuta haipo, akagundua mle hotelini kuna spy cameras
 
[emoji23][emoji23][emoji23] umepitwaaa wapiii?
3somes ya kwendaa.

Si unajua sisi wazee tena, hatuna koneksheni za vitu kama hizo...

Anyway hata hivyo hizo ni faragha za watu, kila mtu na maisha yake mradi hajabaka...
 
Back
Top Bottom