Ujasusi ndio silaha ya hatari kwa nchi yeyote duniani. Ujasusi ndio silaha ya kisasa ktk kukabiliana na changamoto zina ikabili Dunia ujasusi ndio nyenzo ya ushindi kwa adui yako ukiwa hauna watu wazuri ktk ujasusi basi bila shaka usalama wako ni mdogo na kama ni mwenye nguvu basi waweza kuwa dhaifu mbele za maadui zako.
Hivi umewahi jiuliza nakutafakari why Taifa dogo sana Israel linaogopwa na kuheshimiwa na mataifa makubwa? Kiasi hata Taifa kama German walifika mahali wakaomba poo nakuanza walipa ma billion ya dollar kama kifuta jasho kwa ubaya waliwafanyia?
Hivi umewahi kujiuliza nn siri ya Taifa kama Marekani au British? Jibu ni moja hawa ni majemedari wa ujasusi duniani. Wamehakikisha huwezi wasema vibaya au vizuri wasijuwe Nini umesema.
Kwa sasa duniani Marekani anaongoza kwa kupigana vita kwa jina la Democrasia hawapoi wala hawalali Yani ni mwendo wa wakuamgusha serikali moja kwenda nyingine.
Vita ya majasusi ni moja ya vita mbaya na Kali sana ambapo lengo na dhima ya kila mission nikuzima upande mmoja wa adui kuendelea na jambo fulani ambalo kwa mwenzake anaona lina hatarisha masilahi na Uhai wa Taifa au serikali. Vita hii huwa ni vita ya kimya sana ila huwa ina angusha watu muhimu kutoka kila ngome ya majasusi na huwo huwa ndio mwisho wa mission.
Wakati fulani kule Iraq wamarekani walikuwa wakiondokewa na watu muhimu ktk system na mbaya kuliko yote watu hao walikuwa ni watu muhimu sana ktk mission za kijeshi na usalama wa Taifa la Marekani Yani ni watu waliokuwa under cover wana combat ila pia ni wana usalama wa CIA Yani walikuwa wakipeleka data muhimu kwa usalama wa Taifa.
Vifo hivi vilikuwa vikimfikia Rais wa Marekani pamoja na proposal za Nini cha kufanya ku rescue situation.
Wakati haya yanatokea CIA walikuwa wakiomba taarifa za siri kwa Rafiki yake pendwa Israel kujuwa nani anafanya haya na kwanini? Ndipo majasusi wa Israel aka mosssa walipo watonya CIA mkuu wa kikosi maalumu cha mapinduzi wa Iran bwana Kasim Suleiman anaingia nakutoka na kuwauwa wakandarasi wa jeshi la Marekani kama kuku wake bandani. Siri hii haikuwa. Ikiaminika sana mpaka kwenye utawala wa Tramp ambaye aliwaamini Israel na kweli aka sign huyo kamanda auwawe ndani ya Ardhi ya Iraq ili iwe proof ya uwovu wake ikumbukwe ktk sheria za kimataifa haziruhusu wakuu wa majeshi kuingia Taifa la mwenzako kwa siri pasipo wasiliana na serikali husika huyu jamaa akiingia pasipo fuwata utaratibu na ndio maana hata Iran iliwauma sana japo alie tekeleza shambulizi ni Marekani ila mtoa taarifa alikuwa Israel na ndio maana chuki ni Kali Sana kwa Israel.
Iran anajuwa bila Israel USA wasingeweza toboa why una weza mdhibiti adui kwa watu wanao mjua